mauaji ya halaiki kuzuia mataifa
 preventgenocideinternational 
Draft kiSwahili webpage - text needs translation and correction
Kiswahili:
Links
Kiingereza:
Mauaji ya Kizazi?
Haki ya Sheria
Kuzuia
Punishment
Elimu
Action
(juu ya)Sisi Kuhusu
English
Français
Swahili
Arabic
Arabic Português

 
preventgenocide.org
Search the web

Last revised
20 November 2002

 

Prevent Genocide International is a global [dunia], Internet-based network [kimia]of activists working to prevent the crime of genocide
Americas Amerika Europe Ulaya Africa Afrika Asia-Pacific Asia-Pasifiki
  Janai kwa 'mauaji ya halaiki' fi Sheria ya jinai 70 mataifa \ Kanuni juu ya 'mauaji ya kazazi' (genocide) fi 21 ndimi . Neno "genocide"fi 70 ndimi

Mahakama ya Kimataifa ya Watuhumiwa wa Mauaji ya
Halaiki ya Rwanda (ICTR-Arusha)

Umoja wa Mataifa

Haki za Bindadamu: Taarifa hii ya ulimwengu juu ya haki za bindadamu

Prevent Genocide International

info@preventgenocide.org

Please send us your comments on our website.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Judge William H. Sekule was born in 1944. He was State Attorney, Senior State and Principal State Attorney from 1970 to 1979 at the Attorney General’s Chambers. He was Director of Public Prosecutions in the United Republic of Tanzania from October 1979 to April 1987 and Judge at the High Court of Tanzania since April 1987. Judge Sekule was a member of the Board of the Faculty of Law, University of Dar es Salaam (1978-1987) and a member of Police and Prison Service Commission from 1978-1987. He participated in the meetings of the 6th and 7th United Nations Congress on The Prevention of Crime and The Treatment of Offenders, in 1980 and 1985, respectively, at Caracas (Venezuela) and Milan (Italy). He also attended the Preparatory Meeting for the Africa Region for the seventh United Nations Congress on the Prevention of Crime and the Treatment of Offenders at Addis Ababa in 1983 where he was also elected one of the Vice-Chairmen of the meeting. He attended the 39th (1983) and 40th (1984) sessions of the United Nations Commission on Human Rights in Geneva as Deputy Leader of the Delegation of the United Republic of Tanzania. Judge Sekule graduated in Law from the University College of Dar es Salaam of the University of East Africa (1970). From 25 May 1995 to 24 May 1999, Judge of the International Criminal Tribunal for Rwanda and Presiding Judge of former Chamber II.

Jaji Wiliam Sekule Jaji William K. Sekule.

Mtuhumiwa amkataa wakili Na Mwandishi wa PST, Hirondelle MAHAKAMA ya Kimataifa ya mauaji ya Rwanda iliyopo Arusha (ICTR) imelazimika kuahirisha kusoma mashitaka ya mauaji dhidi ya mkuu wa zamani wa mkoa wa Cyangungu nchini Rwanda, EmanuelBagambiki, baada ya mtuhumiwa kumkataa wakili aliyechaguliwa na ofisi ya msajili wa mahakama hiyo ili amtetee . Shirika la habari la Hirondelle lilishuhudia bagambiki akimweleza Jaji Wiliam Sekule aliyekuwa anaendesha kesi hiyo kwamba hayuko tayari kusomewa mashitaka wala kujibu lolote juu ya mashitaka hayo hadi atakapompata wakili atakayemchagua yeye mwenyewe kumtetea. Ofisi ya Msajili wa mahakama hiyo walimpatia mtuhumiwa wakili, Jacques Fierens kutoka Ubelgiji amtetee Bagambiki lakini wakati wa kutambulishana mahakamani hapo, wakili huyo alitamka wazi kuwa hayuko tayari kumtetea kikamilifu mtuhumiwa huyo hadi hapo atakapokubaliwa rasmi naye. 'Sina imani na wakili huyu kwani sikumchagua mwenyewe', alijieleza Bagambiki na kuongeza kuwa 'siko tayari kujibu lolote mpaka nipate wakili wa kutetea haki zangu'. Bagambiki alikamatwa nchini Togo Juni 6, mwaka huu na hatimaye kupelekwa katika kizuizi cha ICTR Arusha, Tanzania na kusubiri kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma za kuhusika kwake katika mauaji ya watu wa kabila la watusi nchini Rwanda mwaka 1994. Kutokana na malumbano hayo yaliyojitokeza, Jaji Sekule aliamuru kuahirishwa kwa kesi hiyo kwa muda usiojulikana ili mtuhumiwa apate wasaa wa kutatua tatizo la kumpata wakili wa kumtetea. Wiki mbili zilizopita mfungwa mmoja, Jean Paul Akayesu aliyekwisha hukumiwa kifungo cha maisha kwa kuhusika katika mauaji hayo pamoja na watuhumiwa 32 waliopo katika kizuizi cha mahakama hiyo mjini Arusha, waligoma kula kupinga kitendo cha kuchaguliwa mawakili na uongozi wa ICTR. Hata hivyo mgomo huo uliachwa na watuhumiwa hao pamoja na mfungwa huyoambapo walianza tena kula chakula kwa sababu ambazo mpaka sasa hazijaelezwa wa wakuu wa ICTR.

 

Mama Nasra aliendelea kudai katika maoni yake kwamba kama kweli kituo hicho cha ITV kinataka kuzungumzia siasa na amani, basi, "nakizungumzie siasa 'chafuzi'za amani ulimwenguni ambazo zimewahusisha Wakatoliki wengi na kanisa lao kulaumiwa." "Generali Franco wa Hispania,Mkatoliki, alianzisha vita mwaka1936 dhidi ya Serikali aliyodai kuwakumbatia matajiri wa Kiyahudi.Hitler wa Ujerumani, Mkatoliki, alianzisha vita vya dunia mwaka1939 na kuendesha mauaji ya halaiki dhidi ya Wayahudi na kuwaangamiza kwa mamilioni kutokana na chuki za kidini",alisema msomi huyo Mama Nasra.

Kanisa halikuwa likifanya mauaji ya watu mmoja mmoja peke yake, lakini historia inaonyesha pia kwamba kanisa Katoliki lilihusika kikamilifu katika mauaji ya halaiki ya Wayahudi zaidi ya milioni sita, wakati wa vita vya pili vya dunia. Katika siku za hivi karibuni, kanisa Katoliki limetajwa kuhusika na mauaji ya halaiki yaliyofanywa na wauaji wa Interahamwe nchini Rwanda kwa sababu ya chuki za kikabila.

Historia fupi ya Kosova:

1939: Vita Kuu ya Pili ya Dunia.

Historia inatuambia kuwa Adolf Hitler hatasahaulika na Wayahudi kwa yale mauaji ya kutisha dhidi ya Wayahudi wa enzi za vita vya pili vya dunia 1939 – 1945. Kikubwa alichofanya Hitler wakati huo ni kuhakikisha kuwa hakuna Myahudi anayeendelea kula na kunywa katika sura ya dunia.

Huo ulikuwa wakati wa mauaji yaliyofanywa na Dikteta Adolf Hitla, dhidi ya mamilioni ya Wayahudi mwaka 1945, ambapo yeye pekee alipona katika familia yake yote.

1389: Waserbia walishindwa na jeshi la Waislamu wa Uturuki (Ottoman). Kuanzia hapo Waseribia wakajenga chuki kali dhidi ya Waturuki na Waislamu.

1970s

idd amin

Jen. Amin atua Mwanza Uhuru, Na. 2,849 Jumanne, Oktoba 30, 1973, bei senti 25, Kenya senti 30 Na Joe Masanilo, Mwanza JENERALI Idi Amin wa Uganda aliwasili mjini Mwanza juzi mchana na kufanya mazungumzo ya saa tatu hivi na Mwalimu Nyerere pamoja na Rais Kaunda wa Zambia na Rais Mobutu wa Zaire katika Ikulu ndogo. Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa kuhusu mazungumzo hayo isipokuwa inaaminika kwamba licha ya mambo ya ujirani mwema, Jenerali Amin aliwaeleza viongozi wenzake juu ya hali ilivyo katika Mashariki ya Kati. Jenerali Amin alifanya ziara katika nchi kadhaa za Kiarabu mara tu vita vilipozuka hivi majuzi. Zaire, Tanzania na Zambia zimekwishavunja uhusiano na Wayahudi kwa sababu ya siasa zao za uchokozi kwa Waarabu. Ingawa kuwasili kwa kiongozi huyo wa Uganda hakukutangazwa mapema, wananchi wengi walikuwepo barabarani kumsalimu wakati akitoka kiwanja cha ndege baada ya kupokewa na Mwalimu Nyerere. Makundi ya watu yaliongezeka barabarani na kiwanjani wakati Jenerali huyo alipokuwa akiondoka juzi hiyo hiyo jioni kwa ndege ya jeshi. Kabla ya kufika kwake, Mwalimu Nyerere na wageni wake walifanya mazungumzo ya faragha na viongozi wa wapigania uhuru wa Angola, Bwana Holden Ruberto na Bwana Augustino Neto. Bwana Roberto mwenye maskani yake huko Kinshasa, Zaire aliwasili mapema asubuhi na Bwana Neto alifika na ndege maalum kutoka Dar es Salaam saa tano asubuhi.

1992: Macedonai na Bosnia nazo zikajitangazia uhuru toka Yugoslavia. 1992: Waserbia wakaanza mauaji ya maangamizi dhidi ya Waislamu wa Bosnia.

Julai, 1995: Majeshi ya Serbia yakakamata mji wa Srebrenica maelfu ya Waislamu wanaume na vijana wakauliwa. Umoja wa Mataifa haukuingilia.